Jopo la kuangalia uchaguzi halihitaji ushahidi mwingine zaidi ya huu. Huu ni ushaidi tosha kuwa uchaguzi siyo wa haki na tume inaonyesha upendelea wa wazi kwa CCM.
Jopo inabilidi ishirikiane na vyombo vingine vya kimataifa kukusanysa ushahidi wa mambo yanayoendelea tanzania kwani inaonekana kuna uwezekano mkubwa wa kumwaga damu.
One Comment
Edward